Changamoto za Umri

Changamoto za Umri

Wanaita ‘kuzeeka’; sisi tunaita mkusanyiko wa tindikali na kamasi. Maumivu ya viungo? Ni asidi iliyoganda. Usingizi mbaya? Ni mfumo uliochafuka. Ngozi kukakamaa? Ni sumu. Hapa tunakuonyesha jinsi ya kusafisha uchafu huu kwa kutumia vyakula vya alkali na mimea ya utakaso. Ondoa ‘dalili za umri’ kwa kuondoa chanzo chake – uchafu wa ndani. Rejesha raha ya mwili wako.

Elimu ya afya kwenye email

Jiunge na wanaume 17326 wanaopata elimu ya afya kupitia email zao kila siku. Ingiza email yako hapa chini kujiunga sasa!
Ni elimu tu, hakuna janja janja ✨